3 years ago

MPENZI WANGU SONG YAJA IVI PUNDE

Nâjua safari ni ndefu nilio nayo kufikisha ndoto yangu ya usaani ila mungu na awe nami wakti wote. Tegea ivi karibu, wimbo wangu mpya yaja. Kwa jina "MPENZI WANGU" chini ya produza Ryez, ndani ya Strict Bizzo Records. Nawapenda sana nyinyi... read more...

3 years ago

#Jay_S ft #Mercury_De_King

Ni siku mingi ukijiuliza, jay s na mercury de king ni wasanii, ndio. si ni wa wasaani, na kuna ngoma waja ivi karibuni na mtaipata #titlle:mpenzi wangu read more...

3 years ago

Kenya music

MUZIKI WA KENYA ni mziki mzuri, unaelimisha, una wasanii ambao wamebobea, huburudisha kila kukicha, na tunaopenda sana. mziki wetu! read more...