8 months ago

WADHAMAS MUSIC (JAY S) . Nimerejea kwa umbali nipokuwa nimeenda. Habari ya sasa nikuwa...kazi mpya tiyari ipo. unaeza ingia google uka search nalia b


 

read more...

3 years ago

JAY S

JAY S

Hapo ndipo maisha ya usanii, yalipo nifikisha. nilipotoa ngoma kwa jina "Mpenzi Wangu". hivi sasa nawakilisha na kingine kwa jina "Mwamchagua nani.?"ni ngoma inaongelea maisha ya hapa kenya,na kwa wanasiasa wetu.

read more...

3 years ago

Mpenzi Wangu. by Jay S Feat. Flector B & Darly G

Ni siku tatu baadha ya iyo ngoma,"MPENZI WANGU"kutamba mtandaoni,na kupokea zaidi ya 1000 elfu moja downloads. Hivi sasa yaonekana kua ya vutia mashabiki wengi wa kenya. Nyimbo ikiwa ya msanii JAY S,akiwashirikisha flector b na darly g. Hiyo ndo moja read more...

3 years ago

Mpenzi Wangu. by Jay S Feat. Flector B & Darly G

Mpenzi Wangu. by Jay S Feat. Flector B & Darly GNi siku tatu baadha ya iyo ngoma,"MPENZI WANGU"kutamba mtandaoni,na kupokea zaidi ya 1000 elfu moja downloads. Hivi sasa yaonekana kua ya vutia mashabiki wengi wa kenya. Nyimbo ikiwa ya msanii JAY S,akiwashirikisha flector b na darly g. Hiyo ndo moja read more...

3 years ago

DOWNLOAD MP3 SWAHILI SONG

Click and download http://mdundo.com/song/43595/low Mpenzi Wangu by @[514279415348057:0] read more...

3 years ago

TEGENI ANYOLE FM KUANZIA 1:30pm NITAKUA NDANI YA MITAMBO

Oya oya vipi majenerali..leo nitakua ndani ya anyole fm..nikitambulisha wimbo wangu mpya kwa jina penzi uchizi read more...